SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

ONDOA VICHWA VYEUSI USONI
Dondoo

ONDOA VICHWA VYEUSI USONI 

Vichwa vyeusi usoni usababishwa na vipele au mchanganyiko wa uchafu na mafuta katika tundu za hewa. kiukweli vinakera si kwa wanawake tu bali hata wanaume. njia chache za haraka na rahisi za kutoa vichwa vyeusi usoni.

1) BARAKOA YA UTEPE WA YAI

Njia hii ni rahisi na unaweza kuifanya haraka nyumbani, ukitumia njia hii sio tu utaweza kutoa vichwa vyeusi bali pia kudhibiti vichwa hivyo kutokea baadae.

Mahitaji

yai moja

taulo,pamba au tissue

bakuli

Egg-White-Mask

Maelekezo

vunja yai lako katika bakuli lakini kuwa muangalifu kinacho hitajika ni utepe tu bila kiini, ukisha vunja koroga yai na uanze kupaka usoni paka mara ya kwanza ikisha kauka paka nyingine unaweza kupaka mara nyingi utakavyo, lakini tu hakikisha inakauka isipo kauka haiwezi kufanya kazi vizuri.

kaa nayo usoni mpaka ikauke kisha isugue kuitoa na baada ya hapo osha uso wako.

2) LIMAO AU NDIMU

Mahitaji

pamba

limao au ndimu

chupa

Lemon-Juice

Maelekezo

safisha uso wako na ukaushe, kisha kamua limao lako ili kupata juisi yake, kisha itie juisi katika chupa ukisha pata juisi inayo tosha tumbukiza pamba kidogo kisha ile ile pamba tumia kupakia juisi ya limao usoni, ni vizuri ukipaka usiku na ulale nayo ukiamka safisha uso wako kwa maji masafi. unaweza kuhifadhi juisi yako katika jokofu na fanya hivi kwa muda wa wiki nzima.

3)DAWA YA MSWAKI NA CHUMVI

Kama unahitaji matokeo ya haraka basi hii ndio njia inayo kufaa zaidi

mahitaji

dawa ya mswaki

chumvi

Toothpaste-and-Salt

maelekezo

Nawa sura yako kwa maji safi kisha changanya kiasi cha chumvi na dawa ya mswaki (aina yoyote) baada ya hapo anza kupaka mchanganyiko wako lakini ukiosha sura usiukaushe sana bakisha maji maji. Paka na sugua kwa dakika moja kisha osha uso wako.

MUHIMU: usitumie chumvi ya bahari

 

Related posts

6 Comments

 1. youtube download video

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/dondoo/toa-vichwa-vyeusi-usoni/ […]

 2. One up bar

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/dondoo/toa-vichwa-vyeusi-usoni/ […]

 3. hawaiian magic mushrooms

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/toa-vichwa-vyeusi-usoni/ […]

 4. 코인선물거래

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/dondoo/toa-vichwa-vyeusi-usoni/ […]

 5. NKSFB David T Bolno

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/dondoo/toa-vichwa-vyeusi-usoni/ […]

 6. codeless Automation testing

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/dondoo/toa-vichwa-vyeusi-usoni/ […]

Leave a Reply