Pushup ni moja kati ya zoezi zuri Zaidi kwa Wanawake. Kwanini? Pushups za mara kwa mara haizitaimarisha kifua chako tu, lakini pia kutengeneza umbo zuri la Mabega, Misuli ya Mikono (Triceps), Misuli ya Makalio(Glutes) na kufanya misuli hiyo kuimarika na kukaza.
Kuna aina nyingi za Pushup lakini leo nitazungumzia ambayo inafanywa na wengi na mtu yoyote anaweza kuifanya hata kama hauna vifaa vya mazoezi.
Zifuatazo ni hatua za kufanya Pushup;
- Tafuta eneo ambalo lipo tambalale na utweza kulala kifudi fudi mwili wako bila shida. Akikisha umevaa nguoa mbayo itakufanya kuwa huru, kama surual ya mazoezi, au surual yenye mpira. Laliatumbo ukiwa umenyoosha miguu na vidole kuangalia chini, kisha toa toa mikono nje ya mabega ukiwa umeegemea mabega kwa upande wa juu (kifua).
- Nyanyuka taratibu ukitumia mikono yako kukunyanyua na miguu kama egemeo. Hakikisha mabega, mgongo na kiuno vyote vinainuka kwa uwiano. Endelea kufanya hivyo kwa kurudi, yaan juu-chini, juu-chini.
- Kama unapata maumivu katika mikono, unaweza kutanguliza kitambaa ili kuondoa hali hiyo.
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/dondoo/umuhimu-wa-pushup-kwa-wanawake/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 28895 additional Information to that Topic: afroswagga.com/dondoo/umuhimu-wa-pushup-kwa-wanawake/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/dondoo/umuhimu-wa-pushup-kwa-wanawake/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/dondoo/umuhimu-wa-pushup-kwa-wanawake/ […]