Kuna vitu muhimu ambavyo vinatakiwa visikose katika handabag yako kama mwanamke, wengi handbag zetu zina vitu vingi vya mwaka 47 lakini pale unapo takiwa kutoa kitu muhimu kina kosekana eidha ni sababu ya mlundikano wa vitu au kwa sababu ya kukosa nafasi ya kuweka kutokana na handbag kujaa vitu visivyo vya muhimu
1.)make up bag na kioo.
Ni muhimu kuwa navyo ili kupata kujirekebisha mara tu baada ya make up kupungua usoni au kuweza kujiangalia kama upo sawa sawa.
2)Viatu vifupi.
kama wewe ni mpenzi wa viatu virefu kumbuka kubeba viatu vifupi kwa ajili ya emergency, kiatu kinaweza kukatika au ikatokea safari ya umbali mrefu ukahitaji viatu vifupi lakini pia unahitaji kupumzisha miguu pale inapo choka kuvaa viatu virefu.
3) Pipi na Big G
ni vizuri kuwa na pipi na big g kwenye mfuko hasa kama una fanya kazi ya kukaa muda mrefu unaweza ukawa bored vika kupa company na pia kurekebisha harufu ya mdomo.
4) Chupa ya maji
Sio tu kwa ajili ya kiu lakini pia kunawa mikono, miguu au hata sura pale unapo chafuka.
5) Lotion au mafuta
maalumu kwa ajili ya ukipauka .
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 27375 additional Information on that Topic: afroswagga.com/dondoo/vitu-muhimu-vya-kuwepo-kwenye-handbag/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/dondoo/vitu-muhimu-vya-kuwepo-kwenye-handbag/ […]