SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

VITU VITATU VYA KUFANYA WEEKEND HII
Dondoo

VITU VITATU VYA KUFANYA WEEKEND HII 

Finally weekend hii hapa kwa wengine wame choka na ku party usiku mzima lakini wale wenzetu na sisi ambao weekend ikifika tuna fikiria ku seat back, ku relax na kuto kufikiria chochote zaidi ya kula na kuangalia movies.

lakini kuna wengine hawa tuna waita stylish people wao hawa wana party wana relax lakini pia kwa muda mchache wanao upata wanautumia hivi

01. kusafisha kabati

woman-cleaning-closet

Unapo kuwa na heka heka ya week nzima mara nyingi makabati yetu huwa yana vurugika katika ile kuchagua nivae hii hapana hii mmmh, hii basi mpaka upate ile unayo ona ina faa na kuivaa una kuwa umesha vuruga vingi na kutudishia huwezi ukirudi kazini ume choka, week end ndio muda pekee ambao una weza kuutumia kufua zilizo chafuka, kuzipass, kukunja na kuzi panga vizuri kabatini.

02. Kuangalia madoa na kushona zilizo chanika

Fashion designer sewing

Hakuna siku nzuri kuangalia na kufanyia marekebisho nguo zako kama weekend, angalia madoa, kama ime chanika au kupunguza kama kubwa. hii itakupa urahisi week inayo kuja kuwa na uhakika wa kuvaa nguo bila ya kuwa na wasi wasi wa aina yoyote.

03. Kupanga nini uvae week ijayo

www.usnews.com

Ili kupunguza ile panic ya sina cha kuvaa wao hutumia weekend kupanga nguo gani za kuvaa week nzima ijayo na kuzitayarisha kabisa, hii ina okoa muda na kukupa nafasi ya kujistyle vizuri kabisa bila ya kupanic na kuchagua kuvaa chochote tu ili mradi ni official wear.

 

Related posts