SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Watu Maarufu Kuvaa Winter Jackets Kipindi Cha Jua
Fashion Cop

Watu Maarufu Kuvaa Winter Jackets Kipindi Cha Jua 

Leo kwenye fashion court tupo na watu maarufu wanaovaa winter jackets na jua hili la Nchini kwetu, tena basi wakiwa hawapo Iringa wala Mbeya wapo kwenye Jiji lililobarikiwa Jua na Joto.

Yes we have seen it and imetushangaza unavaaje winter coat na hili jua? Are you trying to bbq yourselves?


Huwa hamuwashwi miili? Majasho?

Kuna watu wanatoka Nchi za nje kuja Tanzania kipindi cha joto, mtu anaweza kupitia page za watu maarufu akakuta mmevaa hizi coat akajua na huku kuna baridi aka-ghairi safari.

Na kuna wale tutasema hawa wanatembea kwenye magari wakishuka maofisini A/c basi kila mwenye gari na anaefanyakazi ofisini angekuwa anavaa haya ma-coat. Its about time tujue kuvaa kitu kutokana na mazingira tuliyopo.

Well we can understand labda mnataka kuwa fashionable kwa ku layer outfit zenu but there are so many ways to do that ukiwa na nguo ambazo ni weather friendly like kuvaa denim jackets au linen shirts etc.

Oh kabla hatujasahau muangalie mtangazaji huyu akiwa amevaa hood mtaani na mchana wa jua kali you know we gotta ask blaza hukuwa unasikia harufu ya mishkaki kweli?

Tushukuru wale ambao wali-comment kuhusu hili kwenye mitandao yetu ya kijamii, baadhi ya comment hizo ni,

Tupe maoni yako kuhusu hili swala wewe unaonaje?

Related posts

4 Comments

 1. car locksmith

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/26450/ […]

 2. Bubble Tea

  … [Trackback]

  […] There you will find 81400 additional Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/26450/ […]

 3. 티비위키

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/26450/ […]

 4. ผ้ายางปูพื้นรถยนต์

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/26450/ […]

Comments are closed.