AMVFR au Afroswagga Music Video fashion review leo tuna David, a.k.a Young Dar Es Salaama ametoa wimbo wake mpya unaoitwa Bongo Bahati Mbaya na sisi tukaona sio mbaya kama tutaufanyia fashion review, na tuna weza kusema Young Dee kajitahidi sana katika swala la mavazi amependeza wimbo na mavazi yake na umri wake vimeendana.
Tume penda mwanzo wa wimbo alipo vaa all white outfit very clean na imeendana na umri wake
outfit ya pili ambayo ni pink outfit amevaa long coat na Drop-Crotch Pants hii moja kwa moja ikatukumbusha Justin Bieber amezivaa sana hizi suruali na kwa umri wanaendana na Young Dee its a yes kwetu
Kitu ambazho hatuja kipenda ni hii scarf kichwani hii style imekuwa too much kila mtu kwenye wimbo wake kavaa hivyo tunahitaji kitu kipya yow
accessory game na hair style on point again tuna sema her age na maudhui ya wimbo vimeendana na mavazi yake tume mpa 93.5 marks katika hii video
kuangalia video nzima angalia hapo chini na usisite kutupa maoni yako kupitia social net works zetu au kwa kututumia email.
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/afro-music-video-fashion-review-bongo-bahati-mbaya-young-dee/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/afro-music-video-fashion-review-bongo-bahati-mbaya-young-dee/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/afro-music-video-fashion-review-bongo-bahati-mbaya-young-dee/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/afro-music-video-fashion-review-bongo-bahati-mbaya-young-dee/ […]