Ali kiba alionekana kavaa suruali ya aina yake wakati wa mechi ya Yanga na Simba na suruali hiyo hiyo ameonekana nayo chriss brown 3 mwezi huu katika show yake huko Las Vegas je nani kaivaa hii suruali vizuri zaidi?

CHRISS ALLY