SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

ALLY REHMTULLAH NA MAHABA YAKE NA HIVI VIATU
Fashion Cop

ALLY REHMTULLAH NA MAHABA YAKE NA HIVI VIATU 

Yoyote aliye wahi kusema men are not royals, hajawahi kukutana na Ally Rehmtullah. Ally Ni mbunifu kutoka Tanzania na ana mapenzi ya dhati hatujui kuhusu kwa girlfriend/mkewe lakini tunajua mapenzi yake na hizi sneakers,

tume m-spott Ally akiwa amevalia hivi viatu mara nyingi na every freaking where, kama ni red carpet, casual au hata dinner

kama viatu huwa vina a ongea basi kwenye kabati la viatu vya Ally hivi viatu vina watambia sana viatu vingine kwa kuhudhuria sehemu nyingi kuliko viatu vyote.

Si kitu kibaya kupenda kitu chako lakini kukipenda sana mpaka watu waka notice nayo ni mbaya, kama public figure, mbunifu watu wana taka kujifunza kutoka kwako, tuna taka kuona Ally kavaa kiatu gani ama nguo gani ili na sisi tuige sasa hivi viatu jamani kila siku halafu kama vikubwa hivi “over sized’

tunge shukuru kama hivi viatu unge vipumzisha kidogo kwa mwaka huu

kama ulipitwa hii highlight ilikuwa produced by afroswagga katika kipindi cha storm.tv kinacho onyeshwa kila jumatano Clouds Tv

tupe maoni yako kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

4 Comments

 1. youtube download video

  … [Trackback]

  […] There you can find 11341 more Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/ally-rehmtullah-na-mahaba-yake-na-hivi-viatu/ […]

 2. go

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/ally-rehmtullah-na-mahaba-yake-na-hivi-viatu/ […]

 3. 웹툰 마스크걸 다시보기

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/ally-rehmtullah-na-mahaba-yake-na-hivi-viatu/ […]

 4. Anavar in australia

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/ally-rehmtullah-na-mahaba-yake-na-hivi-viatu/ […]

Leave a Reply