SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

AMVFR- H_art The Band x Lady Jaydee “Rosella”
Fashion Cop

AMVFR- H_art The Band x Lady Jaydee “Rosella” 

Jumatatu inapo fika watu huwa wanakuwa tayari kujua Afroswagga wana mtumbua nani kupitia kipnegngele cha Afro Music Video Fashion Review (AMVFR), wasanii wengi wana jitahidi kufanya video nzuri ki rangi, location etc lakini wana sahau sana mionekano yao yaani mtu anavaa ili mradi tu kwa sababu ana location na producer mzuri basi video ina fanyika tu well leo tunae dada yetu Comando Jide, we all love us some her.

Jide ana video mpya yupo na H_art The Band kutoka Kenya kama huwajui hawa ndio waliimba ask my shoes, wanajua wanacho fanya & Rosella its real a good song ila kuna scene moja ambayo ime tufanya tujiuliza maswali, pale ambapo lady jay dee alikuwa kwenye bathtub ana oga kama ana jiandaa hivi na kutoka akiwa ana full make up, kavaa hereni na ana rollers hii ime fanya tujiulize ndio jinsi tunavyo fanya siku hizi? tunaanza na makeup halafu kuoga?

The rollers we can excuse as ina wezekana alitaka weave lake liwe na ma wimbi lakini pia hakutaka kuchelewa kuoga akaamua aweke rollers aende kuoga nazo ila full make up na hereni mmmh hapa kwa kweli hatuja jua labda make up artist mtuambie is this possible tuna tamani kujua kama Jide alikuwa katoka ame rudi au ndio alikuwa ana jiandaa kutoka?

And the song ni ya kubembeleza tungekubali kama ingekuwa funk as tume jaribu kuangalia video za aina hii za wenzetu mbele kuna ya Selena Gomez Can’t keep my hands to my self ali shoot kwenye bathtub kabla ya kuingia alikua na makeup lakini baadae ilitoka that means alisha ipaka akatoka nayo karudi nyumbani kaoga kuiondoa lakini si kama jide ambapo yeye kidogo ame tuuacha njia panda ana toka ama karudi lakini pia kuna video kama Stay ya Rihanna, Ciara Sorry zote unaona wapo na less make up au kutokuwa na make up kabisa. Kuhusu mavazi wakaka walipendeza na suit zao ambapo wali accessorize na African beats accessories

 

 

Related posts

Leave a Reply