SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

AMVFR-Mkimbie By Hemedy Phd
Fashion Cop

AMVFR-Mkimbie By Hemedy Phd 

Anaitwa Hemedy Suleiman wengi tunamjua kama Hemedy Phd au Papi, ni mwanamuziki lakini pia ni mcheza filamu, tulianza kumjua Hemedy kupitia shindano la Tusker Project Fame ambapo alikuwa moja ya washiriki pendwa katika jumba hilo. Hemedy ukiachana na kuimba na uchezaji filamu ni moja kati ya wasanii wa kiume wanaopenda fashion unaweza kujua hilo kwa kuangalia namna anavyo pangilia mavazi yake, ametoa wimbo wake mpya unaitwa MKIMBIE na leo tunaifanyia review ya mitindo yake humo

Kama ambavyo tumesema mwanzo Hemedy anapenda mtindo kwenye hii video mavazi yamepngiliwa vizuri, rangi accessories almost kila kitu kipo on point, our favorite part ni alipo vaa kanzu na sneakers nyekundu

Part nyingine ambayo tumevutiwa nayo ni wakati wimbo unaanza ana piga piano amevaa black suit na brown hat acessories zime cordinate well rangi zimepangiliwa vizuri we must say he did take notes

Kuna scene ambayo alivaa purple coat akatupia na purple scarf so elegant japo scarf imeonekana kama imekuwa forced sana yani hakukua na umuhimu wa kivaa as ndani alivaa kabakoo

brown kanzu never looked better hapa hemedy ameitendea haki, wale wanao oa na kuvaa kanzu au kama unapenda kuvaa kanzu na hujui uiaccessorize vipi basi mchukue  notes hapa

kuna mistakes ndogo ambazo tumeziona kama kutumia aceesory zilezile video nzima, kila nguo Hemedy ametumia acessory zilezile tungetamani kuna sehemu zimepunguzwa au hamna kabisa kufanya uniqueness, lakini pia kwa upande wa video queen kuna scene ambayo amevaa gauni iliyo chanwa chanwa ubavuni kuvaa hizi gauni ni very risk maana inabidi usivae nguo za ndani which hajavaa ya chini ingekua better asinge nyanyua mkono kumu hug Gelly maana imeonekana kavaa top nyeusi ndani ambayo imeharibu show ya nguo kuna sidiria ambazo angeweza kuvaa au angetumia Kim Kardashian tape method

 

All in all we are making steps video nzuri na nice song, unaweza kuitazama hapo chini

Related posts

2 Comments

  1. weed delivery toronto

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/amvfr-mkimbie-by-hemedy-phd/ […]

  2. buying psilocybin mushrooms in colorado

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/amvfr-mkimbie-by-hemedy-phd/ […]

Leave a Reply