SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

AMVFR – NIKUMBUSHE BAHATI ft RAYVANNY
Fashion Cop

AMVFR – NIKUMBUSHE BAHATI ft RAYVANNY 

Ni jumatatu nyingine tena na ni muda wa kufanyia review za fashion katika music video zilizo toka hivi karibuni na leo tuna mwanamuziki kutoka  Kenya Bahati akiwa ame mshirikisha msanii kutoka Tanzania katika kundi la WCB Rayvanny a, Wimbo una ujumbe mzuri sana it is a nice song lakini kwa upande wa Fashioon bado tunaona vitu vile vile vinaendelea yaani nothing new ya kutu-impress au kutushtua

Bado tunaona trend ya bandana ina endelea as tunamuona Rayvanny akiwa na outfit ya red amevaa na bandana to us tunadhani its about time watu wa change yaani kila video kila msanii ana bandana like realy? creativity iko wapi? we need to see something new. hapo hapo Raymond na hio outfit yake red tuna dhani amesha panda mara nyingi na hizi full red or blue outfit kwenye majukwaa au hata post zake tu za kawaida instagram its something kila mtu anaijua yani hata sharobaro tu mtaani ana weza aka create ule mtoko, its about time muamue kuchukua ma stylist wawasaidie.

Tunaona bahati nae akaambukizwa Bandana hapa lol

White suit tumeziona sana kutoka kwa Ben Poul, Diamond mwenyewe yah its classic but tusafisheni macho na kitu kipya we beg.

we some how love hii outfit kutoka kwa bahati

kuna video ya diamond na p square iliongelewa sana na wabunifu na wapenda fashion ni kwa sababu ya jinsi walivyo badilika kimavazi na color coordination, tuna dhani ile effort iliyo fanyika pale iwe ina fanyika kila sehemu na kila msanii awe ame fanya na local msanii au international you need to put 99% on your work kwetu hii ni 75% tu na kwa sababu the song is nice. unaweza kuiangalia video hapo chini

Related posts

6 Comments

 1. ufabet911

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/amvfr-nikumbushe-bahati-ft-rayvanny/ […]

 2. hawaiian magic mushrooms

  … [Trackback]

  […] There you will find 5681 more Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/amvfr-nikumbushe-bahati-ft-rayvanny/ […]

 3. website link

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/amvfr-nikumbushe-bahati-ft-rayvanny/ […]

 4. Achieving financial freedom

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/amvfr-nikumbushe-bahati-ft-rayvanny/ […]

 5. Asbestos Abatement Trempealeau

  … [Trackback]

  […] Here you can find 12926 additional Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/amvfr-nikumbushe-bahati-ft-rayvanny/ […]

 6. Research

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/amvfr-nikumbushe-bahati-ft-rayvanny/ […]

Leave a Reply