SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

AMVFR(AFRO MUSIC VIDEO FASHION REVIEW- NAMBIE BY HARMONIZE
Fashion Cop

AMVFR(AFRO MUSIC VIDEO FASHION REVIEW- NAMBIE BY HARMONIZE 

Kila mtu ana penda kuona kile kilicho bora kutoka kwa wasanii wetu, tuna penda muziki mzuri, video bora na hata mionekano basi nayo iwe vyema. Na tunapenda tunacho kiona siku hizi wasanii wetu wana jitaidi sana kuna weza kukawa na mistake za hapa na pale lakini tulipo sipo tulipo toka. na kwa week hii msanii kutoka wcb ame toa wimbo wake mpya unao kwenda kwa jina la NIAMBIE.

Kiukweli tumependa jinsi video ilivyo clear, haina watu wengi na jinsi walivyo na furaha wenyewe such a cute couple right?(in diva the bawse voice lol, Jacqueline ame fanya magic yake as usual amependeza sana hata harmonize pia ila tuna mawili matatu ambayo yame tushtua kidogo, mwanzo wa video una wea kumuona harmonize akiwa ana cheza tennis ame pendeza mno the outfit ime kaa kimichezo pia na pale ndipo mahala pa bandana

lakini tukaiona hii bandana na ikiwa imevaliwa tena mwishoni mwa video amevaa na suit & we was like hiki ni nini? sheria za suit ni kuwa smart kwanini tunalishusha hili vazi siku hizi kwa sisi tumeona ali accessorize enough na cheni na pete ku add bandana ime fanya aonekana awkward

na iko kinacho ning’inia nyuma sijui ni a scarf ya’rabbi ita a no kwa kweli sio kwa vazi la suit

kingine tumeona kwenye pool akiwa amevalia kaptura na ametupia sijui kuezeka  taulo, hatujajua umuhimu wa taulo pale angajiachia tu na mwili wake na mikufu basi yakaisha,

Jikoni tulisha ona six packs kwenye pool right jikoni ata angevaa vest kidogo baba isinge umiza

and the pink blazer hii kama tulisha wahi kuiona kwa Ray Vanny well thats us na macho yetu

all in all its a nice video & nice song una weza kuiangalia hapo chini

Related posts

4 Comments

 1. buy stoeger guns

  … [Trackback]

  […] There you will find 17117 more Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/amvfrafro-music-video-fashion-review-nambie-by-harmonize/ […]

 2. dolato strain for sale in italy cheap

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/amvfrafro-music-video-fashion-review-nambie-by-harmonize/ […]

 3. stapelstein

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/amvfrafro-music-video-fashion-review-nambie-by-harmonize/ […]

 4. ufabtb

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/amvfrafro-music-video-fashion-review-nambie-by-harmonize/ […]

Leave a Reply