SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Aunty Ezekiel And Queen Darleen Channeling Their Inner Kim K In These Pregnancy Outfit
Fashion Cop

Aunty Ezekiel And Queen Darleen Channeling Their Inner Kim K In These Pregnancy Outfit 

Wanadada Aunty Ezekiel Na Queen Darleen ni wajawazito kwa sasa, na wote wameonekana kujipenda katika ujauzito wao na wamekua wakituonyesha mionekano tofauti tofauti. Week hii wote wawili walikuwa kwenye hafla ambazo walihitajika ku-dress up

Aunty alikuwa na uzinduzi wa reality tv show yake inayoitwa β€œMAMA KIJACHOπŸ€°β€Β  wakati Queen Darleen yeye alikuwa katika sherehe ya baby shower yake. Wote wawili walipendeza na mavazi yao lakini pia haikutuzia ku-notice mfanono wa mavazi yao na ya mwandada Kim Kardashian wakati mjamzito.

Wakati Aunty akiwa amelivaa hili gauni mwaka huu kwenye uzinduzi wa show yake, Kim K yeye alilivaa la rangi ya nyeupe katika awards za “The Instyle Awards 2015”

Wakati kwa mwanadada Queen Darleen yeye ameonekana akiwa amevalia purple of shoulder dress yenye gloves ambayo ilikutumbusha vazi la mwanadada Kim Kardishian ambalo alilivaa mwaka 2018 katika met ball,japo la Kim Kardashia yeye lilikuwa na pull neck.

Well #afromates let us know your thought katika mfanano huu wa mavazi

Related posts