Saa nyingine ni vizuri ku copy kutoka kwa watu ambao wana aminika wana fanya vizuri katika jambo fulani, kama unaweza ukawa una taka kuwa mwanamitindo vizuri ukatafuta mwanamitindo ambae ana fanya vizuri na kuwa inspired nae (well nani anakuwa inspired na mtu anae fanya vibaya).
Sote tunajua Rihanna ana fanya vizuri kwenye mitindo na ni moja kati wa wanamuziki wanao dare linapokuja swala la fashion na hivi karibuni alikuwa ana zindua movie mpya aliyo ifanya ya Valerian alivaa hii tulle Giambattista Valli gown na ilipendwa na wengi
Kwetu imeonekana dada yetu Miss Tanzania 1998 alipenda hii gauni na labda ana mpenda Rihanna akaamua kuwa inspired nae katika Sherehe za miaka 10 ya Ally Rehmtullah
yeye alivaa likiwa na rangi ya blue wakati rihanna alivalia na laceup heels yeye alivalia flats nyeusi, clutch na akamaliza muonekano wake na metallic choker accessory ndogo ndogo na nywele aliweka bob ambayo ina trend kwa sasa.
tuambieni je Basilla ame litendea haki hili gauni au lah? kupitia mitandao yetu ya kijamii
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 64075 more Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/basilla-mwanukuzi-ndani-ya-blue-dress-inspired-by-rihanna/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/basilla-mwanukuzi-ndani-ya-blue-dress-inspired-by-rihanna/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/basilla-mwanukuzi-ndani-ya-blue-dress-inspired-by-rihanna/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/basilla-mwanukuzi-ndani-ya-blue-dress-inspired-by-rihanna/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 66800 more Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/basilla-mwanukuzi-ndani-ya-blue-dress-inspired-by-rihanna/ […]