Inatokea wabunifu kuwa inspired na wabunifu wengine kwa hapa hatujajua kama idea zime fanana au mbunifu aliyebuni gauni la Celine Stephanie Rolland alikuwa Inspired na hii nguo aliyo vaa muigizaji kutoka Ghana Zynnell Lydia Zuh, Zynnell Lydia Zuh alilivaa gauni hili mwezi wa nne mwaka huu katika Tuzo za Vodafone Ghana Music Awards huko Ghana wakati Billboard Music Awards zilifanyika mwezi wa tano mwaka huu, chochote kina wezekana
Celine alilivaa likiwa na rangi nyeupe
wakati Zynnell Lydia Zuh alilivaa likiwa na rangi ya blue
ina bidi tuulize ipi umeipenda zaidi nyeupe ya Celine Dion au blue ya Zynnell Lydia Zuh? Kumuona mbunifu aliyekuwa Inspired Na Lady Gaga Bonyeza hapa
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 62807 additional Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/celine-dion-2017-billboard-music-award-dress-in-blue-version-by-zynnell-lydia-zuh/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/celine-dion-2017-billboard-music-award-dress-in-blue-version-by-zynnell-lydia-zuh/ […]