SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Diamond Platnumz Alivyovaa Coat La Suit Lililotengenezwa Na Kitambaa Cha Pazia
Fashion Cop

Diamond Platnumz Alivyovaa Coat La Suit Lililotengenezwa Na Kitambaa Cha Pazia 

Imepita muda mrefu kumuona mwanamuziki Naseeb Abdul ( Diamond Platnumz) akiwa well polished kama ambavyo juzi alikuwa, Diamond alikuwa amealikwa kama wedding guest na alivaa hii suit ambayo sisi tulipenda, he looked like a billion dollar bag.

Suit By @speshoz

Katika hii suit unaweza kuona a statement ni hii coat, the colors, the design, the fabric is nice, haikuchukua muda mrefu watu wakagundua kwamba hii coat inafanana na pazia, Well kama ambavyo tunajua watanzania tulivyo kila mtu akaanza kupost Diamond amevaa pazia.

Hatujaweza kuliacha lipitie bila kutia our two cents, nadhani tunahitaji kujua ubunifu ni nini, ubunifu ni hali ya kutoa kitu sehemu moja kupeleka sehemu nyingine in a good way, Speshoz ameona hikikitambaa kinaweza kuwa coat la suit na akalitoa na Diamond akapendeza basi hiko ndicho huitwa ubunifu.

Hivi vitambaa hukatwa na kutengeneza mapazia, haimaanishi haviwezi kutengenezewa kitu kingine, kwetu sisi tunasema kudos kwake Speshoz, we love the creativity.

Related posts

5 Comments

 1. พนันบอล

  … [Trackback]

  […] There you can find 86083 additional Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/diamond-platnumz-alivyovaa-coal-la-suit-lililotengenezwa-na-kitambaa-cha-pazia/ […]

 2. Buy DMT Vape Pen Victoria

  … [Trackback]

  […] Here you will find 68290 more Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/diamond-platnumz-alivyovaa-coal-la-suit-lililotengenezwa-na-kitambaa-cha-pazia/ […]

 3. Click Here

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/diamond-platnumz-alivyovaa-coal-la-suit-lililotengenezwa-na-kitambaa-cha-pazia/ […]

 4. weed delivery toronto

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/diamond-platnumz-alivyovaa-coal-la-suit-lililotengenezwa-na-kitambaa-cha-pazia/ […]

 5. 늑대닷컴

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/diamond-platnumz-alivyovaa-coal-la-suit-lililotengenezwa-na-kitambaa-cha-pazia/ […]

Comments are closed.