Sote huwa tunakile kitu ambacho tunakipenda sana kwenye mavazi haiwezekani ukapitisha week bila ya kukivaa, wengine huwa tunaitaga kauka nikuvae wengine huwa wanaviita vigaga. “Tuseme tu sio dhambi wala crime kuwa na kigaga chako”
Kwa msanii maarufu Diamond Platnumz imeonekana kauka nikuvae yake ni hii metal belt, ambayo tumeona amekuwa akipendelea kuivaa mara nyingi hasa akiwa safarini. Inawezekana sababu kubwa ya kupenda mkanda huu ni statement kutokana na kung’aa kwake au labda ndio mkanda ambao unakaa style ya kutokuufunga vyema kuliko mingine.
Style hii ya kutokufunga mkanda ni style mpya ambayo tumemuona nayo msanii huyu akiitumia sana hivi karibuni. Tupe maoni yako je unavutiwa na uvaaji huu wa huu mkanda kutoka kwa msanii huyu?
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/diamond-platnumz-is-obsessed-with-his-metal-waist-belt/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/diamond-platnumz-is-obsessed-with-his-metal-waist-belt/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/diamond-platnumz-is-obsessed-with-his-metal-waist-belt/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/diamond-platnumz-is-obsessed-with-his-metal-waist-belt/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 89357 additional Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/diamond-platnumz-is-obsessed-with-his-metal-waist-belt/ […]