Mwanamuziki mshuhuri kutoka Tanzania Naseeb Abdul A.K.A Diamond Platnumz ambae alikuwa Nominated kwenye Tuzo za Afrimma 2017, na ameshinda Tuzo hio. As usual Afroswagga jicho letu linakuwa katika Fashion & Style.

Diamond ameonekana kuvaa sana full kitenge outfit ambapo kwenye hizi Tuzo napo amevaa full yellow kitenge outfit, ni kitu kizuri kutangaza vya kwetu lakini kwetu tunaona angevaa kitu tofauti as tumesha muona na hizi outfit za kitenge zaidi ya mara mbili

pia viatu na miwani vimeshusha vazi tunadhani kama ange vaa viatu na ku-accessorize vizuri vazi lingeonekana bora zaidi, je wewe maoni yako ni yapi?