Dida Shaibu na Husna Maulidy wameonekana wakivaa jumpsuit zinazo fanana kasoro ni kwamba Dida alivaa jumpsuit hio ikiwa na rangi nyekundu akiwa kavalia na viatu vyeusi wakati Husna aliivaa ya buluu na viatu vyekundu Je nani kaivaa vizuri zaidi?

unnamed

 

Dida Shaibu

koh

Husna Maulidy

Unaweza kuacha maoni yako katika boksi letu la maoni au tutumie email afroswagga69@gmail.com pia unaweza kupata habari zetu kila sikuĀ  kupitia email yako kwa ku subscribe