SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

DWAYNE WADE AVAA SUIT NA KIKUKUU
Fashion Cop

DWAYNE WADE AVAA SUIT NA KIKUKUU 

Wazungu waita anklet waswahili tunaita kikuku, kwetu imezoeleka urembo huo una valiwa na kina mama tena kuna maana mbalimbali huwa zina tajwa endapo mwanamama ata vaa mikufu hio ya miguuni. Si kitu pendwa sana kwetu Africa lakini cha kushangaza mwanamichezo Dwayne Wade ambae ni mume wa Muigizaji Gabrielle Union amevaa kikuku  kwenye red carpet za tuzo za Espy.

rs_634x1024-160713172626-634-dwayne-wade-espys-071316

Dwayne ambae alivaa suit yake nzuri ya blue, ambapo suruali ya suit hio kidogo ni fupi akaamua kuongezea kikuku na kiatu cheusi.

Ukiachana na accessory hio Dwayne pia ali accessorize suit yake kwa hereni, saa, na tai. Je Umependa Style hii?

dwayne

Related posts

3 Comments

 1. One up bar

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/dwayne-wade-avaa-suit-na-kikukuu/ […]

 2. How To Buy Magic Mushrooms Online In Australia?

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/dwayne-wade-avaa-suit-na-kikukuu/ […]

 3. บ้านมือสอง

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/dwayne-wade-avaa-suit-na-kikukuu/ […]

Leave a Reply