SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

ELIZABETH MICHAEL KATIKA TWO IN ONE DRESS
Fashion Cop

ELIZABETH MICHAEL KATIKA TWO IN ONE DRESS 

Elizabeth Michael ambae kwa sasa yupo Nigeria katika Tuzo za amvca2016 ambazo na yeye ni moja kati ya watu wanao wania Tuzo hizo, jana ilikua nomineecocktail na kama ambavyo tunamjua Eliza huwa hakoseagi ame vaa hili gauni ambalo ni moja kwa mbili yaani unaweza kulivaa likiwa fupi pia likiwa refu, na kama kawaida she looks stunning

12346267_1673413432899985_989279806_n

Hapa akiwa kaivaa Fupi

12751337_1682378872017627_1629249965_n

Hapa kaivaa ndefu

Related posts

2 Comments

  1. Buy Psychedelics New South Wales

    … [Trackback]

    […] There you can find 89244 more Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/elizabeth-michael-katika-two-in-one-dress/ […]

  2. cannabis for sale in australia today

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/elizabeth-michael-katika-two-in-one-dress/ […]

Leave a Reply