Its Okay kufanya mistake mara moja moja ila kwa slayer kama Elizabeth kufanya makosa inakuwa topic mjini kwa maana watu wanapenda wamuone kapendeza kila siku, katika harusi ya Professor Jay Elizabeth Michael alienda akiwa amevalia gauni la pink (pink ni sare ya harusi) ambayo lilikuwa limebuniwa na mbunifu Kyamirwa well tunapenda Elizabeth anavyo washirikisha wabunifu

Bahati mbaya kitambaa cha hili gauni ni kama big g ukivalia vitu vya kutuma vinaonekana ndio maana wadada wengi wa mjini huwa wana chagua kuvaa bila kitu au kuvalia vitu ambavyo havionyeshi mistari wala kutuna tuna bahati haikuwa kwa Elizabeth Michael maana yeye alivaa na nguo ndani ambazo zimeoneka kutuna kwa nje well outfit ikawa imeharibika hapo, make up ilikuwa on point as usual ame beba clutch yake in a classic way lakini nywele nazo sio style ambayo imetuvutia sana all in all dress ilikuwa nzuri ime mfit perfect na shape yake lakini alicho valia ndani kimeharibu kila kitu, Next time Elizabeth angalia kitambaa cha nguo ilikujua nini uvalie ndani.  Kuona mitoko ya Elizabeth Mingine katika harusi bonyeza hapa