Week iliyo pita ilikuwa ya masham sham sana kila sehemu kuna red carpet na kama ambavyo inajulikana kwenye red carpet lazima kupate jambo, well kwa Tanzania tumemuona Shadee alivyo rudia nguo yake aliyo host sherehe ya Ally Rehmutullah mwaka jana akairudia mwaka huu pia
ameivaa mwaka huu pia katika Heaven sent premier
View this post on InstagramA post shared by Founder/Owner Daxx Cruz Brand (@daxx_cruz) on
Imeonekana sio kwetu tu bali hata huko kwa wenzetu pia zipo Mbali Enhle muigizaji kutoka South Africa na mke wa mwanamuziki Black Coffee ameonekana kurudia gauni lake alililo livaa katika harusi yake amevaa katika red carpet ya DSTV Mzansi Viewers Choice Awards
Hio ya kushoto ndio gauni inayo ongelewa aliivaa katika reception ya harusi yake na mwanamuziki black coffee
na hapa akiwa ameivaa katika sherehe hizo za Mzansi Viewers Choice Awards kwetu sisi tunaona sawa as bora ame bana budget na ame pata njia ya kulitumia tena kuliko angeliweka tu kwenye kabati
Tuambie wewe una maoni gani kuhusu hili
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you will find 17997 more Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/enhle-mbali-wore-her-wedding-dress-to-dstv-mzansi-viewers-choice-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/enhle-mbali-wore-her-wedding-dress-to-dstv-mzansi-viewers-choice-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/enhle-mbali-wore-her-wedding-dress-to-dstv-mzansi-viewers-choice-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/enhle-mbali-wore-her-wedding-dress-to-dstv-mzansi-viewers-choice-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/enhle-mbali-wore-her-wedding-dress-to-dstv-mzansi-viewers-choice-awards/ […]