SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

#FASHIONCOURT-WEMA SEPETU GOLF OUTFIT KATIKA MOVIE DATE
Fashion Cop

#FASHIONCOURT-WEMA SEPETU GOLF OUTFIT KATIKA MOVIE DATE 

Wema Sepetu ame tuacha mdomo wazi na huu mtoko wake wa movie date, Juzi kulikua na movie premier ya KIUMENI ambapo uncle wake Wema, Idris Sultan ame at katika hio movie, well Wema hakwenda kwenye hio premier ila alienda siku iliyo fuatia ambapo movie ilionyeshwa theater.

Alikuwepo na Idris Sultan na baadhi ya cast wa movie hio ambapo moja kwa moja kwetu tulijua ili ilikuwa a casual movie date, lakini sasa alicho kivaa Wema kilitufanya tuwaze was this a movie date au alikuwa ana enda kucheza golf au labda akitoka pale alikuwa ana enda Gym

Wema kama mnavyo muona ame vaa a pull neck top, pensi nyeusi, long socks na raba nah call us washamba ila this outfit ipo katika wrong and at a wrong time, labda theater kuna kuwaga na mbu lakini mbona mdogo wake mbele hapo ya Idris aliye kabwa hakuvaa socks ndeefu

kwetu sisi ange vaa tu kama ni pensi na simple shoes, au sandals ange pendeza ila hii hapana, ladba wewe msomaji unaonaje? tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

3 Comments

  1. my link

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/fashioncourt-wema-sepetu-golf-outfit-katika-movie-date/ […]

  2. browse around here

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/fashioncourt-wema-sepetu-golf-outfit-katika-movie-date/ […]

  3. ํ…Œ๋”ํŒ๋งค

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/fashioncourt-wema-sepetu-golf-outfit-katika-movie-date/ […]

Leave a Reply