SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Fiesta 2017 Fashion Review
Fashion Cop

Fiesta 2017 Fashion Review 

Jumamosi Fiesta ilifikia kilele chake ambapo wasanii mbalimbali kutoka Tanzania wali perform na hii ilikua only local artist kutoka Tanzania hakuna msanii mgeni aliye letwa, nice tuna appreciate vya kwetu. As usual sisi jicho letu lilikua nani kavaa nini na kapendeza au lah, sio wengi sana walio tuvutia lakini pia sio wengi sana walio haribu, wengi walikua vuguvugu yaani hawaja wow na wala hawaja chukiza

Tuanze na zilizo tuvutia

Maua Mama topped our list, alivaa all white outfit yenye urembo wa silver, tulicho penda ni yeye kutoka on her comfort zone, so crazy yet inavutia

Styled by stylist Noel Ndale, we are glad hawaku sahau stocking 

Nandy nae hakua nyuma we loved her sequin blue top dress, ambayo ndani alivalia na pant nyeusi amemaliza muonekano wake na floral high thigh boots

we defensively loved the outfit hatuko sawa na hair style though she could have done better, nae amekuwa styled na Noel Ndale

Vanessa Mdee she kinda look too much but we liked it

hao ndio walio tufuraisha kwa wanawake kwa upande wa wanaume alikuepo

Ben pol  he looked good in both of his outfit ya blue carpet na stage hapa alivaa white trouser kutoka kwa  @mgombelwabrand designer kutoka Morogoro, Tanzania, wakati pink jacket ilitoka kwa mbunifu  @ki2pe

his stage look ilikua black and white suit kutoka kwa  @mgombelwabrand

Juma Jux nae he monochrome (black & white) his look was  dope imekaa kisanii , white cut off t-shirt, distressed white jeans  na black and white kicks, ame- accessorize na mkufu, hereni,miwani, pete na bracelets

Weusi walitisha na all black outfit wakimalizia mionekano ya na gold sequin bomber jackets walivalishwa na @theagness

kwa wale ambao hawakutuvutia sana alikua Rachel Kizungu zungu kwa wadada she had too much going on.

kwa wakak ni adam mchomvu wakati anaingia kwenye jukwaa la fiesta, we can say he looked like a joker au yule baniani mbaya ambae kiatu chake ni dawa, ila his stage look was fine.

Tuambie wewe umependa ipi na ipi imekuboa?

 

Related posts

4 Comments

  1. 드라마 다시보기

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/fiesta-2017-fashion-review/ […]

  2. buy dmt vape pen online Australia

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/fiesta-2017-fashion-review/ […]

  3. cvv shop

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/fiesta-2017-fashion-review/ […]

  4. บ้านมือสอง

    … [Trackback]

    […] Here you will find 14164 more Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/fiesta-2017-fashion-review/ […]

Comments are closed.