Makeup Artist na Fashionista kutoka East Africa na Fashionista Doopie wameonekana kuvutiwa na hizi high low flared trouser za kitambaa ambapo Fawwie yeye alivaa in a chic way Amevaa brallete, Flared trouser ya njano na lace up heels nyeusi

Wakati Doopie yeye alivaa in a casual/street style way alivaa flared red trouser, na shirt ambalo limekuwa embroiled na nude heels wakati akiwa ame suka corn rows kichwani

Yupi ame kuvutia zaidi kati yao,Doopie au Fawwie? tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz