SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Friyay: Jokate Vs Cinosanda Sandele
Fashion Cop

Friyay: Jokate Vs Cinosanda Sandele 

Juzi tulimuandikia Jokate jinsi alivyo pendeza na hii off shoulder ball hand floral top, imeonekana sio yeye peke yake mwenye jicho la kitu kizuri fashion blogger huyu kutoka Angola nae ame rock top hio, anaitwa Cinosanda Sandele au mwenywewe ana jiita angodiva yaani Angola Diva, wamevaa same top lakini wame style tofauti je umependa ipi zaidi

Tuanze na Jokate, Jokate alivaa top hii na high waist skin jeans, oxford shoes ame accessorize na hareni kubwa saa na pete

Wakati Ango diva yeye alivalia top hii na suruali ya kijani na open heels nyesi, ame accessorize na hereni kubwa pia, bangili na hereni na clutch vya rangi ya dhahabu

tuambie nani amependeza zaidi jojo ama angodiva?

Related posts

2 Comments

  1. top article

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/friyay-jokate-vs-cinosanda-sandele/ […]

  2. 토렌트 사이트

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/friyay-jokate-vs-cinosanda-sandele/ […]

Leave a Reply