SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Halima Yahya Bonnet Zina Mahali Pake
Fashion Cop

Halima Yahya Bonnet Zina Mahali Pake 

Kiukweli bonnet ni msaada mkubwa sana, hasa kwenye mizunguko midogo midogo kama hujasuka au nywele haziko sawa unaweza kuivaa tu ukatoka.

Lakini bonnets hazifai kwenye mahali ambapo ni event ya maana, last week tumemuona muigizaji Halima Yahya wengi tunamjua kama Davina akiwa Dodoma, Halima alionekana na waigizaji wengine wakiwa wanamshukuru Mhe. Rais kwa kupewa mikopo.

Kilicho tushtua kutoka kwake ni kwamba kwenye huo mkutano alifika akiwa amevalia bonnet, ikatufanya tuwaze je ndio kuonyesha kwamba hawana hela mpaka za kusuka hamna wanavaa bonnets au ni kwamba hajui inatakiwa kuvaliwa wapi?

Hata kama alikuwa hajasuka au nywele hazikosawa a good scarf au kiremba kingesaidia sana hapa kuwa smart lakini kuchukulia uzito wa kile mlichoenda kufanya na kinachoongelewa hasa ikiwa ni mkutano ambao ulibeba jambo zito.

Related posts