SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HAMISA NA LAVIDO KATIKA ORANGE OFF SHOULDER TOP
Fashion Cop

HAMISA NA LAVIDO KATIKA ORANGE OFF SHOULDER TOP 

Ni season ya offshoulder ndio kila mtu anavaa kata mikono, kuna wengi ambao tume waona kama Jokate, Vanessa Mdee, Hamisa Mobetto na sasa ni Fashionista Lavidoz. Kikubwa zaidi hii top imeonekana kuwavutia wengi maana kati ya hao tulio wataja watatu wame onekana kuivaa kwa rangi moja au nyingine tofauti, kama una kumbukumbu tulimuweka Hamisa na Jokate walivaa hii top kwa rangi ya blue na sasa ni Hamisa na Lavidoz katika Orange Off shoulder top

wote wawili wame vaa sawa na skin – jeans za blue, kasoro tu lavidoz ame beba clutch, hereni kubwa kavaa, bracelet na heels zilizo zibwa mbele

 

2016-09-16 23.41.36

Wakati Hamisa kavaa open heels, small hearings na choker

 

2016-09-16 23.42.15

Muonekano upi ume kuvutia sana/

tupe maoni yako kupitia

Facebook -Afroswaggamag

Instagram – Afroswagga

Twitter – Afroswaggatz

Related posts