SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HAMISA VS JOKATE TWINNING KATIKA BLUE OFF SHOULDER TOP
Fashion Cop

HAMISA VS JOKATE TWINNING KATIKA BLUE OFF SHOULDER TOP 

Jokate na Hamisa wameonekana kuwa na taste moja katika uchaguzi wa mavazi, kwa maana si mara moja kuona wawili hawa wakivaa mavazi yanayo endana na leo wame onekana kuvaa hii off shoulder top

Jojo kavaa top hii na skinny jeans nyeupe, kaachia nywele, big hearings na bold red lipstick aka malizia muonekano wake na silver pump heels

14063530_1098683516835223_971269744_n 14134597_1669031686756975_1320503459_n

 

wakati Hamisa yeye alienda blue on blue, kavaa jeans mcharuko ya blue, off shoulder top kama ya Jokate ya blue, raba na ame accessoriza na simple chokers

14240797_1730129613908040_83228698_n

 

Tuambie nani kapendeza zaidi na hii top kupitia

Facebook- afroswagga

twitter- afroswaggatz

 

Instagram – afroswagga

Related posts