Off Shoulder ndio kitu ambacho kipo katika trend kwa sasa tume waona watu wengi maarufu, wasanii, waigizaji, ma model, designers, wanamuziki na hata ma fashionista wakiwa wana valia sana nguo za kata mikono. Ikisha kuwa hivi basi utaona watu wengi wakiwa wame valia nguo design moja na wiki hii kutoka kwetu Tanzania tume waona Vanessa Mdee, Jokate Mwegelo Na Hamissa Mobetto wakiwa wame valia off shoulder
jokate alivaa off shoulder top yake na jeans nyeupe na viatu vya silver
Hamisa yeye alivaa off shoulder ya pink pia jeans nyeupe na fur sandals za pink
Vanessa Mdee alivaa off shoulder ya blue, jeans nyeupe na open heels akavaaa na choker inayo endana rangi na top yake
tuambie nani kapendeza zaidi na trend hii kwa kututembelea katika kurasa zetu za
Facebook – Afroswagga
Instagram – Afroswagga
Twitter – afroswaggatz
Related posts
7 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/hamisajokate-na-venessa-in-off-shoulder-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 718 more Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/hamisajokate-na-venessa-in-off-shoulder-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/hamisajokate-na-venessa-in-off-shoulder-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/hamisajokate-na-venessa-in-off-shoulder-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/hamisajokate-na-venessa-in-off-shoulder-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/hamisajokate-na-venessa-in-off-shoulder-trend/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/hamisajokate-na-venessa-in-off-shoulder-trend/ […]