Harmonize ni moja kati ya wasanii waliopo chini ya label ya WCB, ni moja kati ya wasanii wanao jipenda na kupenda vizuri, kama ni mpenzi wake au mfuatiliaji utagundua ameanza tabia ya akinunua kitu ana brag about it na kuweka kwamba amenunua kiasi gani, well flaunt it if you have it.
Alipost hii kutuonyesha Gucci belt yake ya $2500 sawa na Ml. 5’500’000/- za kitanzania, well not every body can afford that, its okay aki flaunt it.
Hiki kitu kikatufanya tuwe curious na kumuangalia, hivi juzi walienda Zanzibar na Diamond Platnumz katika kusaka vipaji kwa ajili ya radio na Televison yao wanayo anzisha and they looked dapper, Diamond alivaa suit ya blue,iliyo mfit well, black shoes zenye gold akimalizia na gold watch na glasses.
Wakati Harmonize yeye alichagua suit ya brown,akamalizia mtoko wake wa suit na tai, Gucci X Louboutin fake shoe’s ame accessorize na miwani, pete, hereni na saa. Tulivyo ona hivi viatu vya Harmonize kwa juu tulijua ni Gucci, kwa sababu vina Gucci logo kwa juu.
But then he had to show us the bottom of the shoes kwamba ni red bottom kama alivyo imba Cardi B Blood shoes, well we had to check twice kuna collaboration kati ya Gucci na Louboutin ilifanyika labda we didn’t know about? tukaja kugundua hakuna collaboration hio kwaio hivi viatu ni fake,
mchina fake, well its okay kuvaa vitu fake wasanii wengi nje na ndani ya Nchi huvaa fake products lakini don’t stress people with all the shout ya kusema umenunua shilingi ngapi cause una tufanya tuwe attention halafu tunakuja kugundua ni uongo. he styled them good though kama OG.
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/harmonize-rocking-christian-louboutin-shoes-with-gucci-logo/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/harmonize-rocking-christian-louboutin-shoes-with-gucci-logo/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/harmonize-rocking-christian-louboutin-shoes-with-gucci-logo/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/harmonize-rocking-christian-louboutin-shoes-with-gucci-logo/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/harmonize-rocking-christian-louboutin-shoes-with-gucci-logo/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/harmonize-rocking-christian-louboutin-shoes-with-gucci-logo/ […]