SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

HIS & HERS STYLE – DIAMOND & ZARI KATIKA ZARI BEACH BIRTHDAY THEME
Fashion Cop

HIS & HERS STYLE – DIAMOND & ZARI KATIKA ZARI BEACH BIRTHDAY THEME 

Ijumaa ilikua birthday ya the boss lady Zarinah Hassan A.K.A Zarithebosslady na alimua kufanyia birthday  yake Zanzibar akiwa na mpenzi wake Naseeb Abdul AU Diamond Platnumz ukipenda muite Chibu Dangote. Sisi jicho letu lilikua katika mavazi ya hii Birthday vacation huko Zanzibar na hizi ndizo zilikua outfit zao huko

All Black outfits hii ilikua air port outfit maana hapa ndo walikua wame fika Zanzibar, Zari ali vaa see through dress yaani inaonyesha vilivyomo ndani na heels wakati Diamond alivaa black blazer.,vest nyeusi na black trouser na raba nyeupe hakusahau madini na saa. tume penda hii

14310724_358639721192755_2760829128469905408_n 14359363_291357964580889_6383751278073217024_n

Ya pili ilikua Birthday Dinner Diamond alivaa suit ya blue  ambayo kwetu ni BIG NO, Ni birthday party tena ni beach kwanini uvae suit na tai? unaenda kwenye meeting au ofisini? hapana ingependeza zaidi kama ange vaa ki beach beach kama suluari ya linen shirt mikono mifupi na sandals simple hii ni too much mpanio

14334812_390740094383301_6255986987543560192_n 14482160_1355494787824607_939919821401751552_n

Hizi ndizo outfit ambazo diamond angevaa angependeza katika hii birthday dinner

7b9cbc77cc38234f24faf390b4add889

cf6ff879409e00e7304bfdec571336ee

Siku ya tatu ya Vacay ilikua all white outfits na dakishi ambayo si mbaya sana lakini Diamond kwanini uvae raba? ulisahau kubeba makobazi? Beach na raba na socks jamani? hapana All in All HAPPY BIRTHDAY ZARI

14350806_318333621891874_3358630276187029504_n

14374212_1773272106292175_1753673247611682816_n

tumependa jinsi mose iyobo amevaa ni beach wear

14474210_328709844146510_2065487637078081536_n

 

Related posts