SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

How Vanessa Mdee And Tahiya Styled Fenty By Puma Lace Up Ankle Boots
Fashion Cop

How Vanessa Mdee And Tahiya Styled Fenty By Puma Lace Up Ankle Boots 

Kila msichana anapenda viatu vizuri, na utajuaje hiki ni kizuri ni jinsi ambavyo vitanunuliwa kwa wingi na utakutana nao wamevivaa kwa wingi, we all know Rihanna anajaribu kutupa kile roho inapenda kutoka kwenye viatu,make up na mavazi. Hivi viatu tumesha muona Rihanna mwenyewe amevaa na hapa kwetu wanadada wawili Vanessa Mdee na Tahiya wameonekana kuvutiwa navyo pia

Tahiya yeye alivaa hizi Fenty By Puma Ankle Strap Boots nyeusi na nyeupe na denim shorts, white blazer na ndani akamalizia na crop top nyeusi, blonde hair na nude make up, amemaliza muonekano wake na hereni na pete.

Hizi Fenty by Puma Strap ankle boots zinauzwa $307 sawa na 675,400 Tzs unaweza kuzipata  hapa za rangi ya nude, we couldn’t find the blacks ones

Rihanna alionekana na hizi lace up strap ankle boots za nude akiwa amevalia na nude shift dress, akabeba na pochi nyekundu.

Kwa Vanessa Mdee yeye alionekana na hizi Fenty By Puma high heel suede sneaker na lace up top skirt na see through top huku ndani akiwa amemalizia na cropped top zote nyeusi.

Ameonekana amevaa tena na blue boyfriend jeans na black vest na black coat

Vinauzwa $99.99 kwa sale wakati mwanzo vilikua vikiuwa $600 sawa na 1,320,000 tzs unaweza kununua hapa

Rihanna alionekana amevaa lakini vya rangi nyeupe akiwa amevalia na two pieces gray outfit amemaliza na chocker, miwani saa na lv box bag

Who rocked the Fenty By Puma Shoes Best Between Vanessa & Tahiya?

Related posts

1 Comment

  1. hk usp expert.45

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/how-vanessa-mdee-and-tahiya-styled-fenty-by-puma-lace-up-ankle-boots/ […]

Leave a Reply