SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Idris Sultan MisMatched Shoes Saga
Fashion Cop

Idris Sultan MisMatched Shoes Saga 

Muigizaji, mchekeshaji, radio host na mshindi wa  Big Brother Africa-Hotshots, 2014 Idris Sultan amekuwa gumzo huko mitandaoni kutokana na uchaguzi wake wa viatu katika hafla ya Uwekezaji Day 2023 amabyo iliandaliwa na bank ya CRDB.

Idris alikuwa moja kati ya waalikwa katika hafla hio na kilichofanya azungumziwe ni chaguo lake la viatu alivaa raba pamoja na moka yaani viatu visivyo fanana,

wengi waliuliza kwanini amefanya hivyo na kwa utetezi wake Idris alisema hawezi kuchukua masaa kuchagua kiatu gani avae,

Ni kweli kuchagua kiatu gani uvae wakati mwingine ni stress kubwa hasa kama unaona vyote vinapendezea na vazi lako, lakini tunaweza kusema pia hapa Idris amekosea kwa maana kuchagua viatu pia kunatokana na event unayoenda ni vyema kama angechagua kimoja wapo akavaa ili aonekane presentable inawezekana vijana wakelewa ni fashion lakini sehemu aliyoenda ilikuwa na nzito kuvaa hivi kunaweza kumfanya aonekane muhuni na next time ashindwe kualikika kwenye hafla za maana.

Well tulitoa tips za Namna Ya Kumatch Viatu Pamoja Na Mavazi Yako bonyeza kusoma zaidi. Na tupe maoni yako kuhusu hili kupitia box la comment hapo chini.

Related posts