SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Irene Uwoya Dropped Tsh 7,787,169/ For These Dolce & Gabbana Heels And Shoulder Bag
Fashion Cop

Irene Uwoya Dropped Tsh 7,787,169/ For These Dolce & Gabbana Heels And Shoulder Bag 

Ukiongelea watu maarufu ambao wana slay kwa hivi sasa huwezi kuacha kumtaja Irene Uwoya, hatujui huyu mdudu slayer katika wapi ila one thing is for sure tunapenda tunacho kiona kutoka kwake. Irene ni msanii mkubwa sana na kuona kwamba anachukua muda wake kujiweka katika hali nzuri hasa kimavazi inatufanya tumpende zaidi. Haijalishi kuvaa brand au nguo tu za kawaida ila kama wewe ni mtu maarufu tunategemea kukuona smart mara kwa mara, hatuwezi kusema always maana we are all human’s lakini most of the times inafaa uonekane vyema hata ukikutana na fans wako usijishtukie.

Leo Irene amepost hii picha akiwa amevalia yellow dress akiwa amemalizia muonekano wake na Dolce & Gabbana Lurex Sandals With Sculpted Heels huku akiwa amemalizia na matching Dolce & Gabanna DG Girls Shoulder Bag, she looked good kwenye hii outfit as she should.

Tukataka kujua Je kama hivi vitu ni original basi Irene amenunua kwa shilingi ngapi? Tumeenda kwenye website ya Dolce & Gabanna , ambapo huko tulikuta viatu vinauzwa $ 1,295/- sawa na shilingi 2,976,169 za ki-Tanzania

Wakati hii shoulder bag inauzwa $ 2,095 sawa na Tsh 4,813,681.50 za Kitanzania kwahio vyote kwa pamoja amenunua kwa shilingi 7,787,169/- (kama vitu hivi ni original)

Oh well Oh well afromates what do you think Original or Not?

Related posts

3 Comments

 1. visit homepage

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/irene-uwoya-dropped-tsh-7787169-for-these-dolce-gabbana-heels-and-shoulder-bag/ […]

 2. https://exotichousedispensary.com/product/guava-gas-strain/

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/irene-uwoya-dropped-tsh-7787169-for-these-dolce-gabbana-heels-and-shoulder-bag/ […]

 3. https://www.timesunion.com/marketplace/article/phenq-reviews-17525542.php

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/irene-uwoya-dropped-tsh-7787169-for-these-dolce-gabbana-heels-and-shoulder-bag/ […]

Comments are closed.