Its Furahi day na kama kawaida huwa tuna Friday Fashion Battle Field. Leo tupo na Mwanamitindo Jacqueline Mengi, Muigizaji Elizabeth Michael Na Radio Personality kutoka Nigeria Toke Makinwa wakiwa wamevalia hii Organza style dress. Kwa wale mnaojiuliza organza ni nini hii ni combination ya fabrics kama lace, kitenge au chiffon na imekuwa iki-trend sana kwa sasa.
Well Toke yeye alivaa organza blush pink dress akamalizia na clear shoes amebeba mini handbag huku akiwa na accessories kama hereni na bangili, wakati Jacqueline Mengi yeye alivaa ya blush pink pia lakini kwake alivaa na embellished open toes heels, kwa muigizaji Elizabeth Michael yeye alivaa gauni hii ikiwa na rangi ya green neon akamalizia na statement open heel sandals.
well tuambie kwako nani amevaa vyema hili vazi la style ya organza?
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/jacqueline-mengi-elizabeth-michael-and-toke-makinwa-in-organza-style-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/jacqueline-mengi-elizabeth-michael-and-toke-makinwa-in-organza-style-dress/ […]