Joh makini ni mwana hip hop kutoka Tanzania ambae kwa sasa ana jina kubwa mno, huwezi kutaja wana hip hop kumi ukamkosa Joh. Kuna wana Hip Hop wengi lakini leo tunamuongelea Joh na mitindo yake,
zamani tulizoea kuwaona watu wanao imba muziki huu wakiwa wana valia rafu ukimuuliza mtu kwanini hivi ata sema kwa sababu yeye ni mwana Hip Hop (mgumu) tofauti na sasa wana Hip Hop wamekua wakivalia vizuri sana tofauti na zamani. Kuna wana hip hop wengi ambao wana vaa vizuri wakiwemo Izzo Business, G Nako, King Zilla na wengineo, Joh ni mzawa wa Arusha tulitegemea atakuwa kigumu zaidi lakini cha kushangaza amekua tofauti kidogo,
tuna penda tunacho kiona hakuna sehemu ime andikwa ukifanya Hiphop basi ujiweke rafu. hizi ndizo chache kati ya nyingi zilizo tuvutia kutoka kwa Joh
kila kitu chake kipo sawa mavazi masafi na ni saizi yake, nywele japo ni rasta lakini ana ziweka ki usafi pia.
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…