SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Anjella Anahitaji Stylist ASAP
Judge Afro

Anjella Anahitaji Stylist ASAP 

Lebo za muziki Nchini zimekuwa zikisaini wanamuziki na kuwapa umaarufu,mikufu na magari lakini wanasahau kuhusu mionekano, Anjella ni moja kati ya wasanii waliopo chini ya label kubwa ya muziki Nchini Konde Gang lakini muonekano wake unaongea tofauti kabisa.

Anjella anahitaji a whole wardrobe detoxing her looks are not pleasing at all, mpangilio wa mavazi yake hauridhishi kwa mtu ambae anaimba nyimbo za mapenzi kuvaa kama rapper hai-make sense, yes inawezekana ndio style yake lakini tunadhani kuna namna nzuri ya kuiweka style yake kuendana na miziki yake.

na sio tu mavazi huyu msichana ana hitaji kununuliwa nywele hata 3 wigs nzuri au kuwa na msusi ambae atakuwa anamsuka mara kwa mara, Anjella anavaa sana durag’s na mizula ambapo kwa level yake tunadhani hivi vitu angeviacha kabisa.

Lakini pia kwenye accessory Anjella ana valishwa sana minyororo, hatujui ni mwenyewe ana chagua au anachaguliwa tunachojua anahitaji kuachana nayo, kuna accessories za bei rahisi ambazo zina quality nzuri tu. Tunadhani wangeanza sasa kutilia mkazo muonekano wake.

Yes kuna siku ambazo anapendeza lakini ni chache kulikozile ambazo anakosea, kama msichana peke yake kwenye record label yake tunadhani wanahitaji kumpa the power look she deserve.

Related posts

5 Comments

 1. pop over here

  … [Trackback]

  […] Here you can find 67057 additional Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/anjella-anahitaji-stylist-asap/ […]

 2. BINANCE SPOT

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/anjella-anahitaji-stylist-asap/ […]

 3. Gelato 33 1.5g High Roller Pre-Roll

  … [Trackback]

  […] Here you can find 92719 more Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/anjella-anahitaji-stylist-asap/ […]

 4. bbw escots

  … [Trackback]

  […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/anjella-anahitaji-stylist-asap/ […]

 5. สล็อตเว็บตรง

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/anjella-anahitaji-stylist-asap/ […]

Comments are closed.