SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Anjella’s Birthday Photoshoot Outfit Review
Judge Afro

Anjella’s Birthday Photoshoot Outfit Review 

Anjella mwanamuziki kutoka katika label ya muziki konde gang hizi juzi amesheherekea siku yake ya kuzaliwa, na kama ilivyokawaida ya watu maarufu wengi siku hii huwa wanaachia picha zao walizozipiga kwa ajili ya kutumiwa kuwatakia kheri katika siku yao ya kuzaliwa. Anjella nae hakuwa nyuma aliachia picha zake, tofauti na wengi za kwake zimetushtua kutokana na vazi lake.

Anjella Anahitaji Stylist ASAP

Alivaa hii strapless pink & white satin dress ambayo imetukumbusha miaka ya 90, kipindi cha kina Khadija Kopa na Nasma Hamis Kidogo walikuwa wanazivalia wakiwa wanaimba taarab. Hii gauni hatukuwahi kutarajia kama tutaiona tena 2021, yoyote ambae amemvalisha atakuwa nyuma na muda sana, bado tunaona stylist wake na yeye mwenyewe Anjella wana struggle kwenye kupata muonekano sahihi wa mwanamuziki huyu. Tunadhani wachukue muda wao kuangalia style gani zipo kwenye chat muda huu na kuziweka ziendane na Anjella, this is the worse birthday photoshoot outfit tumeiona 2021, ukizingatia hivi karibuni tu Wema Sepetu alitoa zake zilizo trend sana mitandaoni kwa ubora wake.

Related posts

2 Comments

  1. Buy B+ magic mushrooms for sale online Washington DC

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/anjellas-birthday-photoshoot-outfit-review/ […]

  2. have a peek at these guys

    … [Trackback]

    […] There you will find 13410 additional Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/anjellas-birthday-photoshoot-outfit-review/ […]

Comments are closed.