SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Cha Kujifunza Kutoka Kwenye Video Ya  Maluma X Rayvanny
Judge Afro

Cha Kujifunza Kutoka Kwenye Video Ya Maluma X Rayvanny 

Did we miss this section? Okay we missed you too, sababu ya sisi kuwa kimya ni kwamba hakukuwa na la kushtua sana kwenye upande wa styling kwenye music video zetu Tanzania ila hii ya Maluma na Rayvanny imetuamsha kidogo usingizini tukaona si mbaya tukaliongelea hapa.

Tutaongelea hili jambo moja tu kwanza nalo ni kuinvest kwenye mavazi. Wasanii wetu wanafanya investment kubwa sana katika location, magari mazuri kwenye video lakini mavazi ni kawaida sana, kwenye hii video kwanza kabisa tuseme tunashukuru tumepewa kipande kidogo sana cha kuonekana maana tungetia aibu kubwa sana.

Ukiangalia mwenye kipande kikubwa Maluma sio yeye tu na mavazi yake bali hadi dancers na video vixen wake mavazi yanaeleweka ukiangalia makeup, nywele, mavazi, viatu, the styling from head to toe na tukirudi upande wetu kuna tofauti kubwa. Tunaweza kusema unaweza kuona Maluma ame invest kwenye mionekano.

Tukirudi kwetu ni yaleyale tuliyoyazoea, dancers wamevaa tu wanavyojua wao kuvaa ilimradi wasimu-outshine muhusika, haijulikani kama ilikuwa summer au winter, theme ilikuwa beach au club kwa maana kuna ambao wamevaa track suit, kuna waliovaa beach wear, party dresses basi alimradi mvurugano lakini kubwa kuliko yote ni wale waliovaa sandals, wengine raba na wengine wakiwa wamepigilia zao heels.

well kwetu ni hilo kubwa tuliloliona, tupe maoni yako umeonaje kuhusu styling ya video hizi kwa pande zote mbili

Related posts

1 Comment

  1. 대구웨딩홀

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/cha-kujifunza-kutoka-kwenye-video-ya-maluma-x-rayvanny/ […]

Comments are closed.