SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Gigy Money Made A Wrong Choice Of Shoe Mistake
Judge Afro

Gigy Money Made A Wrong Choice Of Shoe Mistake 

Viatu hucheza nafasi kubwa sana katika mavazi yetu, inawezekana ni kitu cha mwisho kukifikiria lakini ni kitu ambacho pia ukikikosea hata kama umependeza vipi lazima chenyewe kitatia doa hasa kama umevaa mavazi ambayo kiatu hiko kinaonekana.

Kwasasa trend kubwa kwenye viatu vya mchuhumio ni viatu vyenye pembe tatu mbele ( Triangle Open Toe) Hivi viatu vimeonekana kupendwa na wengi hasa watu maarufu. Week iliyopita tulimuona navyo msanii Gigy Money ambae ali-trend kutokana na kiatu hiki kutia doa outfit yake.

Kulingana na mguu wa Gigy ni mnene vidole havikutimia kwenye ile triangle ukasababisha usajikaji wa vidole na kuleta mushkheli katika muonekano wake.

Well tunadhani kwa mguu wa Gigy na kama alitaka kuvaa kiatu kilichopo kwenye trend basi square open toe heels zingemfaa kabisa kwa maana vidole vyake vingetulia kabisa kwenye ile square mbele.

Related posts