Hamisa Mobetto ameongeza mwaka mwingine tena & tunaweza kusema a girl is aging with grace. Hamisa alikuwa na 3 Birthday Photoshoots, na kama ilivyokuwa kawaida huwa tunaangalia mavazi na kama ni Yay or Nay
Look ya kwanza ilikuwa ni hii sexy look, a simple dress yenye double side high slit, alimalizia muonekano wake na a crown, statement bangles na chain akiwa amezungukwa na mishumaa. Loving this look so much the simplicity yet so loud.
Ya mwisho ni hii angelic look ambayo tulishaiona mara kadhaa ikiwepo kwa socialite kutoka Nigeria bobyrisky, amevalia a short romper nyeupe, we love love the hair color, face beat na wings nyeupe baby girl said we are stepping into new age fly, love the creativity kwenye photoshoot zote.
Related posts
1 Comment
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/hamisa-mobetto-birthday-photoshoot-outfit-review/ […]