Seems like Kim K ametu-prove kwamba ni wakati wa kusema bye bye kwa trend ya gloves, its been too much kila mtu kuvaa gloves mpaka sehemu zisizotakiwa kuvaliwa gloves. Pamoja na kuaminika na kuheshimika katika ulimwengu wa mitindo jana mwanadada huyu ametuacha mdomo wazi kwa kuvaa gloves beach, like how and why?

Yes kuna ambao watasema its just for photo’s lakini hizi nguo zinatoka kwenye kampuni yake ya skim’s kwaio inaonyesha ni wapi unaweza kuvaa hii top, anataka kutuambia tuanze kukutana na watu beach na gloves? na kwa wale wenzetu na sisi Africa tunaopenda kuwa “Inspired” please let this one pass we beg.
Related posts
HOT TOPICS
The Hardest Part Of Being A Nigerian Bride Is To Comeup With A Bride Look That Wont Match With Any Of The Guest’s A… https://t.co/8vfNPS0IYg
FollowItaly Kumekucha Afromates #TheKardashian #TheKardashian wapo huko kwaajili ya the wedding of the year. Haya mnasubiri lo… https://t.co/kENoAG9RQg
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…