Mwanamuziki na Muigizaji Mimi Mars ameonekana katika short clip ambayo anaongelea season mpya ya Tamthilia ya Jua Kali ambayo na yeye anaigiza humo ndani, Katika clip hio Mimi Mars amevalia one shoulder sequin dress ambayo amemalizia na makeup nzuri na nywele nzuri.
Lakini amefanya dhambi hii ya fashion ya kuonyesha mkanda wa brazia nje, katika vitu ambavyo huwa vinapigwa vita katika fashion mojawapo ni hii ya kuvaa vazi ambalo halina mkono halafu mkanda wa brazia ukaonekana hii ni kutokana na kwamba bra inapaswa kuvaliwa ndani na ina distract outer wear.
ell kwa sasa kuna options nyingi za kuvaa endapo utakuwa umevalia vazi lisilo na mikono au mkono mmoja kama Strapless Bra & boot tapes

Tunadhani wakati mwingine akiwa anavalia mavazi haya ajifunze kuhusu undregarment sahihi za kuvalia na vazi lake.
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/mimi-mars-atenda-dhambi-hii-ya-fashion/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/mimi-mars-atenda-dhambi-hii-ya-fashion/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/mimi-mars-atenda-dhambi-hii-ya-fashion/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 71926 more Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/mimi-mars-atenda-dhambi-hii-ya-fashion/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/mimi-mars-atenda-dhambi-hii-ya-fashion/ […]