Mwanamuziki Mimi Mars ambae kwasasa yupo kwenye media tour kwaajili ya wimbo wake mpya wa Lala ( this song is fiya though) ameonekana kupatwa na dhambi za fashion baada ya belt aliyoivaa kuharibika kidogo akiwa shughulini tunasema ajali kazini.
Mimi Mars ambae alivaa all white fit akiwa amemalizia muonekano wake na crystal belt ambayo ali-match na choker yake, she looked good & appropiate kwa kipindi, lakini hizi belt bwana huwa hazipendi mihangaiko yaani uvae ukiwa umetulia sio ku-dance dance na ndio maana baada ya kashkash nyingi ikaharibika

Ukiachana na fit kuwa nzuri, mkanda kutuharibia shughuli, Makeup ilikuwa on point but this baby hair thing really is disturbing.

Well kuhusu mkanda next time chukua ile yenye cystal lakini ndani yake ina kama kitambaa sio rahisi kuharibika.

Afromates let us know thoughts zako kwenye hii look ya Mimi Mars.
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/mkanda-ulivyoharibu-shughuli-ya-mimi-mars/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 58500 more Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/mkanda-ulivyoharibu-shughuli-ya-mimi-mars/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/mkanda-ulivyoharibu-shughuli-ya-mimi-mars/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/mkanda-ulivyoharibu-shughuli-ya-mimi-mars/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/mkanda-ulivyoharibu-shughuli-ya-mimi-mars/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/mkanda-ulivyoharibu-shughuli-ya-mimi-mars/ […]