Another Fashion Battle Field, hii segment tunawaletea Fashionista’s mbalimbali wa kiume na wa-kike ambao wamevalia mavazi yanayofanana na mtachagua nani ame-style vazi hilo vizuri zaidi.
Week hii tunae Fashionista Jojo Gray na wifi yetu kutoka kwa mwanamuziki Dogo Janja, Quen Linna Totoo wakiwa wamevalia hii black blazer inspired dress yenye mpasuo mrefu. Jojo yeye alivaa hii gauni na black strap sandals amemalizia muonekano wake na sleek hair style na accessories ndogo ndogo wakati Linah nae alikuwa na hair style inayofanana na Jojo lakini yeye hakuwa na accessories na alimalizia muonekano wake na open toe heels.


Tupe maoni yako nani amestyle vyema hili vazi?
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 63395 more Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/quen-linna-totoo-vs-jojo-gray/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/quen-linna-totoo-vs-jojo-gray/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/quen-linna-totoo-vs-jojo-gray/ […]