SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Rayvanny Afanya Dhambi Ya Kutokujua Nini Avae Wapi
Judge Afro

Rayvanny Afanya Dhambi Ya Kutokujua Nini Avae Wapi 

Katika vitu ambavyo huwa tunapaswa kuangalia katika kuchagua mavazi ni kujua sehemu unayoenda unatakiwa kuvaaje. Kuna sehemu ukivaa mavazi ya aina fulani unaweza kuwa kituko mfano: huwezi kuingia ofisini ukiwa umevalia pensi.

Hiki ndicho kilichomkuta mwanamuziki Rayvanny kutoka label ya WCB ambae alikwenda Nchini Kenya kikazi, akiwa huko alikwenda katika ofisi za Governor akiwa amevalia pensi, hood, dior socks na raba.

Like who wear such kind outfit kwenda kukutana na viongozi wakubwa wa Nchi na hata kama ingekuwa ofisi ndogo ni kweli hatujui nini cha kuvaa ukiwa unatembelea ofisi za serikali? alikosa hata suruali ya kitambaa na t-shirt au shirt akavaa na raba? Tunadhani its about time hawa watu kuwa wanazuiwa mlangoni ili waanze kujitambua kwenye swala zima la nini uvae wapi.

Related posts

2 Comments

  1. Best Psychedelic Store Perth

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/rayvanny-afanya-dhambi-ya-kutokujua-nini-avae-wapi/ […]

  2. Where to buy magic mushroom online Victoria

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/rayvanny-afanya-dhambi-ya-kutokujua-nini-avae-wapi/ […]

Comments are closed.