SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Stockings Zilivyoharibu Shughuli Ya Yemi Alade
Judge Afro

Stockings Zilivyoharibu Shughuli Ya Yemi Alade 

Moja ya mavazi ambayo ukivaa unatakiwa kuwa mtulivu na mwenye heshima ni stockings huwa ni rahisi sana kuchanika na kuharibu muonekano wako mzima.

Hali hii imetokea mwanamuziku kutoka Nigeria, Yemi Alede ambapo alivaa vazi lake la kitenge akaamua avalie na stockings ndani, lakini kama ilivyoada ya stockings ikaamua kuchanika na cha kushangaza zaidi ilichanikia kidoleni.

Well tulichopenda ni gut yake ya ku-post hizi picha hivihivi bila kujificha.

Related posts

1 Comment

  1. my response

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/judge-afro/stockings-zilivyoharibu-shughuli-ya-yemi-alade/ […]

Comments are closed.