SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Uche Ogbodo’s What I Ordered Vs What I Received Situation
Judge Afro

Uche Ogbodo’s What I Ordered Vs What I Received Situation 

Muigizaji kutoka Nigeria Uche Ogbodo ambae anasema hakuwahi kuamini kuhusu what i ordered vs what i received mpaka ambapo hii situation ilipomtokea. Uche anasema alinunua material mwezi mmoja kabla na fundi aliahidi atapata kile ambacho amekitaka na badala yake akapokea kitu sicho.

Uche alipost picture za magauni aliyoyataka na ambayo aliyoyapokea

Huku akiwa ameandika kile kilichotokea unaweza kusoma hapa chini

Tunaaminigi Nigeria ni Nchi ambayo wanamafundi wa mavazi wazuri lakini leo tumeonyeshwa kumbe hata wao huwa wana mafundi Juma

Related posts